Chindo Man azungumzia Kifo cha Mwanae na Collabo yake mpya na SNOOP DOGG.

Chindo Man azungumzia kifo cha mwanae aliyefariki kwa ajali ya Moto huko Marekani,pia amesema anatarajia kufanya collabo yake mpya na Snoop Dogg ambapo taratibu mbali mbali anaendelea kuzikamilisha.

Exit mobile version