Diwani atoa siri nzito kuhusu madiwani waliojizulu.

In Kitaifa, Siasa
Diwani Viti Maalum Digna John Nasari amesema kuwa anawashangaa Madiwani wanaoachia Nafasi zao,na kisha kuomba ridhaa tena kwa kuwa inaonesha mashaka katika kujiuzulu nafasi zao.
Diwani Digna akiwa katika studio za radio5fm
Akizungumza katika kipindi cha Goodmorning Tanzania kinachorushwa na kituo cha redio 5 Arusha Digna amesema kuwa,Viongozi ambao wamepewa dhamana na wananchi wanapaswa kuwaletea maendeleo hata  kama kuna migongano  ndani ya vyama vyao.
Diwani Digna akisisitiza jambo.
Aidha ametaja baadhi ya changamoto katika utekelezaji wa majukum yao kuwa ni Pamoja ukwamishwaji na itikadi za kiasiasa na kushindwa kushirikiana miongoni mwa wateule wa raisi na madiwani hali ambayo inachangia kucheleweshwa kwa miradi ya maendeleo.
Diwani huyo amasema maendeleo hayana chama na hivyo kuwataka kushirikiana bila kujali Itikadi zao kwa kuwa nmuda uliopo sasa ni utekelezaji wa maendeleo na siasa ni mwaka 2020.
Mhe.Digna katika picha ya pamoja na watangazaji wa radio5fm
kuanzia kushoto ni Ashura Mohamed kulia ni Semio Sonyo Mkurugenzi
wa vindi radio5fm.

Tazama mahojiano hapa.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Watu 193 wawekwa karantini kisa virusi vya Marburg.

Mganga Mkuu wa serikali Dkt Tumaini Nagu,amesema hakuna kisa kipya kilichoongezeka kuhusu vifo vilivyosababishwa na virusi vya Ugonjwa wa

Read More...

SERIKALI YAFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA HUDUMA ZA HALI YA HEWA

SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi na uchukuzi,isemema kuwa katika kuhakikisha wanakuwa na Taarifa za uhakika za Hali ya hewa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu