Dokta Hussein Mwinyi arudisha fomu ZEC….


Mgombea wa Urais Visiwani Zanzibar kwa Tiketi ya Chama
cha Mapinduzi CCM Dkt Hussein Mwinyi leo Septemba 2, 2020
amerejesha Fomu katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar
ZEC.

Exit mobile version