DRAKE KUMUNFOLLOW KANYE WEST.

In Burudani, Kimataifa

Drake inaonekana amemuunfollow Kanye West kwenye
Instagram baada ya miaka mitano na hii ni kuendeleza kile
kinachodaiwa kuwa wawili hao bado hawapo sawa.


Kwa upande wa kanye amefollow watu zaidi ya 7,126 ambao
wote profile picha zao zinafanana na profile yake.
Ye na Drake drama zao zilifkia hatua ya Verzuz.


Akiongea na mtangazaji mkongwe wa redio Angie Martinez
kwenye kipindi cha Angie Martinez mnamo Septemba,
mwanzilishi wa Verzuz Swizz Beatz alipendekeza Ye alikuwa
tayari kumuangamiza Drake kwenye battle.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu