EX GIRLFRIEND WA DNG ATOA SABABU ZA KUACHANA NA MPENZI WAKE.

In Burudani, Kimataifa

FIONA JAMES EX GIRLFRIEND WA DNG MTANGAZAJI NA
MC MAARUFU SANA HUKO KENYA, AMEELEZA SABABU
YA KUACHANA NA MPENZI WAKE HUYO KUWA NI
ALIKUA AKIDHALILISHA KUMTUKANA NA KUMPIGA
WAKATI MWINGINE.


FIONA NI MWANADADA AMBAE ALISHIKAMANA NA DNG
HATA PAMOJA NA KUWA KULIKUA NA USHAHIDI
KWAMBA DNG ALIKUA NA MICHEPUKO NA ALIKUA
ANATOKA NJE YA UHUSIANO WAO, AMBAPO MWISHONI
MWA MWEZI WA NNE MWAKA HUU DNG ALIKUA KATIKA
SKENDO YA KUVUJISHA PICHA ZA MWANADADA
ALIYEITWA TOTO-RAY, AMBAE ALIKUA NI MCHEPUKO
WAKE, NA TOTORAY ALIONGEA NA KUSEMA KWAMBA
YEYE HAKUWA ANAJUA KWAMBA ALIANZA KUONGEA
NA JAMAA BAADA YA DNG KUINGIA DM NA KUMWAMBIA
KWAMBA AMEMKUBALI, DNG ALIKUWA KWENYE
UHUSIANO KWANI NDIVYO JAMAA ALIVYOKUA
AMEMWAMBIA KWAHIYO YEYE ALIINGIA BOKSI
AKAANZA UHUSIANO, LAKINI BAADA YA KUJUA KUWA
JAMAA ANADEM WAKE, NDIPO ALIMWAMBIA KWAMBA
UHUSIANO WAO UMEISHA HIVYO HAWEZI ENDELEA NAE,
NA KWA KILE KILICHOONEKANA KAMA HASIRA, DNA
ALIVUJISHA PICHA ZA TOTO RAY ILI KUMKOMOA NA
ALIZIVUJISHA KUPITIA UKURASA WA TELEGRAM, NA
SASA BAADA YA USHAHIDI KUTOKA BADO FIONA
ALISIAMAM NA DNG NA KUSEMA HAWASIKILIZI STORY
ZA WAANDIKA UMBEA MITANDAONI.


SASA WIKI ILIOPITA MWANADADA FIONA ALIFUTA PICHA
ZOTE AMBAZO ALIKUA AMEMPOST JAMAA, NA BAADA YA
KUULIZWA NA WATU NINI SHIDA? KWAMBA NI KWANINI
AMEACHANA NA JAMAA?

AKASEMA KWAMBA SIO KWASABABU YA ISHU YA TOTO-
RAY, LAKINI NI KWASABABU YA KAULI ZA DNG AMBAYE
AMEKUA AIMUONGELESHA VIBAYA NA KUMTUKANA, PIA
AMEONGEZA NA KUSEMA KWAMBA AMEJITOA SANA
KATIKA UHUSIANO HUU, NA HADI KUNA KIPINDI
ALIKATAA SAFARI YA KWENDA MAREKANI ILI AKAE NAE.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Wazazi wahimizwa kuzingatia Elimu Mbeya.

Afisa Tarafa wa Sisimba John Mboya amewataka wazazi na walezi kata ya Itagano Jijini Mbeya kuzingatia suala la elimu

Read More...

PROF. NDALICHAKO AKIPONGEZA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM KWA UTEKELEZAJI SHERIA ZA KAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekipongeza kiwanda

Read More...

WATOTO 109,514 KUPATIWA CHANJO YA MATONE DHIDI YA POLIO WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA

Katika utekelezaji wa zoezi la Kampeni ya chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa  Polio, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu