Gambo: Wanaoingia nchini wasiwekwe karantini siku 14.

In Kitaifa


Mkuu wa mkoa wa Arusha ndugu Mrisho Gambo, amesema
wanampango wa kuzungumza na mamlaka za juu nchini,
kuondoa kipengele kinachomtaka kila mtu anaeingia nchini
kukaa karanatini siku 14 kutoka na janga la Corona.

Gambo amesema wanafikiria kufanya hivyo ili kuinusuru sekta
ya utali hususani katika mkoa waArusha, ambayo imeathirika
pakubwa kutokana na janga la ugonjwa huo wa Corona.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu