Gazeti la serikali nchini Zimbabwe halijaandika chochote.

Gazeti na serikali nchini Zimbabwe la – The Herald – halijaandika chochote kuonyesha yale ambayo yamekuwa yakiendelea usiku kucha.

Bado mtandao huo una taarifa zinazoonekana kumuunga mkono Rais Robert Mugabe.

Taarifa yake kuu inamnukuu kiongozi wa wa vijana katika chama cha Zanu-PF Kudzai Chipanga akimunga mkono Rais Mugabe, alisema tunampigania Rais kwa masha yetu.”

Exit mobile version