Gazeti la serikali nchini Zimbabwe limeandika taarifa za kwanza

Gazeti la serikali nchini Zimbabwe, The Herald, hatimaye limechapisha taarifa kuhusu yale ambayo yamekuwa yakiendelea katika kipindi cha saa chache zilizopita.

Taarifa yake kuu kwa sasa ni kuhusu hatua zilizochukuliwa na jeshi.

Exit mobile version