Hatma ya Viongozi wa CHADEMA, Hukumu yasogezwa mbele

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imefurika wafuasi wa Chadema na ulinzi umeimarishwa kwa askari kila kona  kabla ya muda wa hukumu.

Wafuasi hao walianza kumiminika eneo la mahakama tangu saa moja asubuhi wakisubiri hukumu ya vigogo wa Chadema akiwemo Mwenyekiti, Freeman Mbowe

Hukumu hiyo  ilitarajiwa kusomwa saa nne na nusu asubuhi   lakini imesogezwa mbele hadi saa saba na nusu mchana

Exit mobile version