Homa ya ajabu yazuka Serikali yatoa tahadhari.
contributor contributor
6 years ago
Categories:
Afya
,
Kitaifa
Serikali kupitia Wizara ya Afya imeutahadharisha umma kuhusu ugonjwa wa Homa ya
Chikungunya
ambao huambukizwa na mbu aina ya
aedes
na hauna tiba mahsusi wala kinga. Isome taarifa hii kuelewa zaidi kuhusu ugonjwa huo.
Exit mobile version