Irene Uwoya apata Pigo Ndikumana afariki.

Mchezaji wa zamani wa klabu ya Amavubi ya Rwanda na Kocha msaidizi wa timu ya Ryon sports Hamad Ndikumana ‘Kataut’ amefariki dunia usiku wa kuamkia leo Novemba 15, sababu za kifo chake bado azijajuloikana.

Ndikumana aliwahi kuwa mume wa muigizaji wa Bongo Movie Irene Uwoya na katika maisha ya ndoa yao walibahatika kupata mtoto mmoja wa kiume.

Exit mobile version