Jaji Mutungi atoa neno kwa wanasiasa juu ya katiba.

Ikumbukwe hivi karibu Rais Dk Samia Suluhu Hassan
alimuagiza Msajili wa vyama vya siasa nchini Jaji Francis
Mutungi,kuitisha kikao maalum cha Baraza la vyama hivyo
pamoja na kuanza mchakato wa Katiba Mpya.


Rais Samia alitoa maagizo hayo Tarehe 6 Mei 2023 Ikulu,
Chamwino Dodoma,ambapo alimemtaka Jaji Mutungi kuitisha
kikao hicho kwa lengo la kufanya tathmini ya utekelezaji
mapendekezo ya Kikosi Kazi kilichokuwa,kikiratibu maoni ya
watu kuhusu demokrasia ya Vyama vingi vya siasa nchini
Msajili wa Vyama Vya Siasa nchini Jaji Francis Mutungi
amewataka wanasiasa kutobweteka,wakidhani Rais Samia
Suluhu Hassan kawapa rungu la kusimamia mchakato wa
marekebisho ya Katiba.

Exit mobile version