Jerry Slaa atoa siku 100 kwa watumishi wa ardhi.

In Kitaifa

Watumishi wa Ardhi nchini wamepewa siku 100 kuondoa
urasimu katika ofisi zao, kutatua migogoro yote ya ardhi iliopo
katika maeneo yao pamoja na kujirekebisha na kubadilika kwa
wale ambao hawafuati misingi na taratibu za kazi zao.


Maagizo hayo yametolewa na waziri wa Ardhi nyumba na
maendeleo ya makazi Mhe Jerry Slaa akiwa mkoani Singida,
katika ziara yake ya siku moja alipokutana na kuzungumza na
watumishi wa halmashauri ya mkoa wa Singida hususani
watumishi wa sekta ya ardhi.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu