Jeshi la zimamoto laonywa kuepuka Rushwa.


Maafisa na Askari wa ukaguzi wa jeshi la zima moto na uokoaji
nchini, wameagizwa kufanya ugaguzi wa vifaa vya kinga ya
moto kwenye kampuni mara mbili kwa mwaka huku wakionywa
kutojiuhusiaha na vitemndo vya rushwa.


Wito huo umetolewa mapema leo na kamishna wa usalama wa
moto CF Jesuald Ikonko, alipozungumza na baadhi ya watendaji
wa jeshi hilo, huku kamanda wa zima moto mkoa wa Mtwara
SACP Christina Sunga akielezea baadhi ya matukio ya moto
mkoani humo yametokana na hitilafu za umeme kwa wenye
nyumba.

Exit mobile version