Kairuki kataja ambayo hatayasahau Wizara ya Utumishi.

Leo aliyekuwa Waziri wa Utumishi wa Umma Angellah Kairuki amekabidhi Ofisi kwa Waziri Mkuchika.

Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Waziri Kairuki ametaja mambo matano ambayo yalikuwa changamoto kwenye wizara hiyo.

Antenna kama kawaida imeinasa sauti ya waziri Kairuki alipokuwa akizitaja changamoto hizo.

 

Exit mobile version