Katambi afunga maonesho ya pili ya Elimu ya ufundi.

Naibu waziri wa kazi,Ajira,Vijana na wenye ulemavu Patrobas
Katambi, leo amefunga maonyesho ya pili ya elimu ya ufundi na
mafunzo ya ufundi stadi yaliyofanyika katika viwanja vya Sherk
Amri Abeid jijini Arusha.


Akizungumza katika viwanja vya maonyesho hayo,licha ya
mengi aliyoyaongea naibu waziri Katambi amesema serikali
itaendelea kuweka mazingira rafiki kwa vijana kujiajiri.

Exit mobile version