Kenya kuadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani.

In Kimataifa
Kenya inaungana na nchi nyingine duniani kuadhimisha siku ya kimataifa ya idadi ya watu duniani.
Mwaka 1989, shirika la mipango ya maendeleo la umoja wa Mataifa lilipendekeza tarehe 11 Julai kila mwaka kuwa siku ya idadi ya watu.
Siku hii hutumiwa kufahamu idadi ya watu duniani, na takwimu hizo zikitumiwa kupanga mikakati ya ustawi wa watu duniani kote.
Kenya inaadhimisha siku hiyo, huku idadi ya watu mjini Nairobi ikiendelea kuongezeka. Jiji la Nairobi kwa sasa lina wakazi zaidi ya milioni 3.5.
Watu ambao wametoka sehemu mbalimbali za mikoani na vijijini kutafuta fursa, jambo linalochangia kuongezeka kwa watu mijini.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu