Kesi ya Ahmoud Arbery imepata muendesha mashtaka mpya

In Kimataifa

Kesi ya Ahmoud Arbery imepata muendesha mashtaka mpya ambae ni
mwanamama wamwenye asili ya kiafrika Joyette Holmes , Ahmoud rbery
ambae alipigwa risasi hadi kufa na watu wawili ambao ni mtu na baba yake
Greg McMichael(64) na Travis McMicheal(34) ambao kesi hii ilikua
ikizungushwa kwa muda wa miezi miwili na nusu nakusababisha watu
kuandamana, na wasanii mbali mbali kulalamika hadi Roc nation mwanzoni
mwa wiki hiiwaliandika barua ya wazi wakiomba kubadilishwa kwa muendesha
mashtaka aliyekuwepo kwani alikua na uhusiano wa kikazi na mmoja wa
wauwaji wa Ahmoud, na ombi hili kukubalika na muendesha mashtaka mpya
amepatika.


Lakini pia mama yake mzazi Ahmoud amesema kwamba wauwaji wa mwanae
wanastahili kupewa adhabu ya kunyongwa hadi kufa. Alisema kupitia interview
na TMZ alisema kwamba anatambua kwamba jimbo la Georgia lina adhabu
hiyo na kama walivyomuua mwanae wanastahili kupata adhabu ya kifo vilevile.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu