Kifaa kilichowarekodi madiwani waliohama CHADEMA chatinga TAKUKURU.

Diwani Aihimidiwe Rico amewasilisha TAKUKURU kifaa kinachosadikika kuwarekodi madiwani wenzake waliohama CHADEMA na kuhamia Ccm kwakumuunga mkono Rais kwa jitihada zake.

Exit mobile version