Libya kusitisha mapigano.

In Kimataifa
Viongozi wawili mahasimu nchini Libya wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano kwa lengo la kukuimarisha amani nchini humo.
Mazungumzo ya kusitisha mapigano baina ya pande hizo mbili zinazo sigana yaliongozwa na raisi wa Ufaransa Emmanuel Marcon, aliyemudu kuwaleta mezani kiongozi wa serikali ya Libya inayoungwa mkono na umoja wa mataifa Fayez al-Sarraj na Khalifa Haftar ambaye ni kiongozi wa kundi linalo jiita Libyan National Army lenye ngome yake mashariki mwa Libya
Ni mara ya kwanza viongozi hao wawili kukubali kuweka sahihi makubaliano ya kuweka silaha chini ,ikiwa ni juhudi za kukabiliana na idadi kubwa ya wakimbizi wanaoikimbia Libya kupitia bahari ya Mediteranian kuelekea bara Ulaya.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Watu 193 wawekwa karantini kisa virusi vya Marburg.

Mganga Mkuu wa serikali Dkt Tumaini Nagu,amesema hakuna kisa kipya kilichoongezeka kuhusu vifo vilivyosababishwa na virusi vya Ugonjwa wa

Read More...

SERIKALI YAFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA HUDUMA ZA HALI YA HEWA

SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi na uchukuzi,isemema kuwa katika kuhakikisha wanakuwa na Taarifa za uhakika za Hali ya hewa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu