Lowassa amjulia hali Lissu.

 

Aliyekua Waziri Mkuu wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA Mhe. Edward Lowassa akiongozana na Mke wake Mama Regina Lowassa na Mhe. Onesmo Ole Nangole leo walifika Hospitali ya Nairobi kumjulia hali Tundu Antipas Lissu.

Exit mobile version