Maalimu Seif asema Taifa halina umoja.

In Kitaifa, Siasa


Mwenyekiti wa chama ca ACT Wazalendo Maalim Seif
amezungumza na waansishi wa habari kuhusu masuala
mbalimbali ya kisiasa hapa nchini.


Kati ya mambo aliyoyazugumzia katika kuelekea uchaguzi
mkuu mwezi wa kumi, Seif Sharifu Khamad amesema taifa
halina umoja.


Lakini kwanza ameanza kwa kulizungumzia tukio la Freeman
Mbowe kushambuliwa na watu wasiojulikana, na kueleza
kuchukizwa na wale wanaobeza na kufurahia kitendo hicho.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu