Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuwasili katika mkutano wa viongozi wa Ulaya na NATO.

In Kimataifa

Maelfu ya watu wameandamana katika mji mkuu wa Ubelgiji, Brussels, baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kuwasili katika mkutano wa viongozi wa Ulaya na NATO.

Waandamanaji hao walikuwa wamebeba mabango ambayo baadhi yalikuwa yakisomeka ”Hatumkaribishi Trump”.

Wakati wa kampeni za Urais nchini mwake, Rais Trump aliwakasirisha Wabel

Awali Rais huyo wa Marekani alikutana na mwenyeji wake mfalme Philippe wa Ubelgiji na malkia Mathilde.

Aliwasili mjini humo akitokea Roma Italia, ambako alikutana na kiongozi wa Kanisa katoliki duniani Papa Francis.

 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Wazazi wahimizwa kuzingatia Elimu Mbeya.

Afisa Tarafa wa Sisimba John Mboya amewataka wazazi na walezi kata ya Itagano Jijini Mbeya kuzingatia suala la elimu

Read More...

PROF. NDALICHAKO AKIPONGEZA KIWANDA CHA MBOLEA CHA ITRACOM KWA UTEKELEZAJI SHERIA ZA KAZI

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Prof. Joyce Ndalichako amekipongeza kiwanda

Read More...

WATOTO 109,514 KUPATIWA CHANJO YA MATONE DHIDI YA POLIO WILAYANI NKASI MKOANI RUKWA

Katika utekelezaji wa zoezi la Kampeni ya chanjo ya matone dhidi ya ugonjwa wa  Polio, Halmashauri ya Wilaya ya Nkasi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu