Kundi la muziki kutoka Afrika Kusini, Mafikizolo linaloundwa na vijana wawili Theo Kgosinkwe na Nhlanhla Nciza wameachia albamu ya iitwa yo ’20’ sawa na muda walioishi katika kiwanda cha burudani duniani.
Albamu ya ’20’ kutoka kwa kundi hilo limebeba mastaa wa kubwa wa muziki wakiwemo DJ Maphorisa, Wizkid, KLY, Yemi Alade, Jah Prayzah na wengineo wengi.
Uzinduzi wa albamu hiyo ulienda sanjari na sherehe ya uuzaji wa albamu hiyo ya ’20’
