Mahakama nchini Switzerlandyakamilisha mzozo wa kisheria kuhusu Mfalme Mwambitsa IV aliyefariki miaka 40 iliyopita sasa utasalia nchini humo.

In Kimataifa

Mahakama moja nchini Switzerland imekamilisha mzozo wa kisheria kuhusu hatma ya mwili wa mfalme wa Burundi aliyeondolewa madarakani, Mwambitsa IV aliyefariki miaka 40 iliopita kwamba atasalia nchini humo kulingana na shirika la habari la AFP ambalo limenukuu chombo kimoja cha habari nchini humo.

Mfalme Mwambutsa aliongoza Burundi hadi uhuru wake kutoka kwa Ubelgiji mwaka 1962, lakini akaondolewa mamlakani miaka minne baadaye kufuatia mzozo uliodaiwa kutoka kwa uhasimu uliopo kati ya Watutsi na Wahutu.

Alifariki nchini Switzerland 1977, huku akiwacha wasia kwamba mwili wake usipelekwe nchini Burundi.

Mwanawe wa kike na serikali ya Burundi wametaka mabaki yake kurudishwa hadi nchini Burundi akidaiwa kutaka kuchukua mazishi yake kuandaa sherehe ya kuleta maridhiano ya kitaifa.

Mpwa wa mfalme huyo amepinga mpango huo akisisitiza kuwa matakwa ya mfalme huyo lazima yaheshimiwe.

Huku kukiwa na mzozo huo uliosababisha kufukuliwa kwa mwili wake 2012, mabaki ya Mwambutsa yamehifadhiwa katika chumba kimoja cha kuhifadhia maiti mjini Geneva kwa kipindi cha miaka 5 kulin

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

JUMLA YA WATU 2249 VISIWA VYA MULEBA WAPATIWA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG .

Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwa

Read More...

MAANDALIZI DIRA YA MAENDELEO 2050 YAANZA

SERIKALI  imeanza mchakato Wa kuandaa Dira Mpya ya Maendeleo 2050 ambapo wadau wote katika maeneo yao wametakiwa kushiriki kikamilifu

Read More...

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu