Makonda aruhusu daladala kusimamisha wanafunzi.

In Kitaifa


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda ametoa onyo
kwaa maafisa usalama barabarani wanaoendelea kuwakamata
waendesha pikipiki maarufu kama Bodaboda pamoja na bajaji
ambao katika kipindi hiki cha mlipuko wa virusi vya Corona
wameruhusiwa kuingia katika ya jiji kinyume na ilivyokuwa
awali.


RC Makonda pia amewaomba madereva daladala kuwapakiza
wanafunzi kwani tayari shule zimefunguliwa kwa kidato cha sita
na vyuo, hivyo kuwapakiza katika daladala zao wanafunzi
wasiopungua wanne.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu