Mama huyo wa miaka 45 Natalie Whiteside amuacha mume wake baada ya kuambiwa ana miaka 5 tu ya kuishi kutokana na kuugua kwake .
Madaktari walimwambia ana miaka 5 tu yakuishi na hivyo aliamua kumuacha mume wake na kurudiana na mpenzi wake wa zamani waliosoma pamoja utotoni jambo linaloshangaza .
Tukio hilo lilitokea akiwa na mimba ya pili ya mume huyo na kuamua kuaachana nae .Alidai asingekuwa na Saratani ya ubongo kungezidi ugomvi baina yake na aliekuwa mume wake .
Mwanamke huyo anaamini atapona kwani imeshapita miaka 6 na bado hali sio mbaya kama alivyodhani.
