Mama wa miaka 45 aachana na mume wake baada ya kuambiwa ana Saratani ya ubongo.

 

Mama huyo wa miaka 45 Natalie Whiteside amuacha mume wake baada ya kuambiwa ana miaka 5 tu ya kuishi kutokana na kuugua kwake  .

Madaktari walimwambia ana miaka 5 tu yakuishi na hivyo aliamua kumuacha mume wake na kurudiana na mpenzi wake wa zamani waliosoma pamoja utotoni  jambo linaloshangaza .

Tukio hilo lilitokea akiwa na mimba ya pili ya mume huyo na kuamua kuaachana nae .Alidai asingekuwa na Saratani ya ubongo kungezidi ugomvi baina yake na aliekuwa mume wake .

Mwanamke huyo anaamini atapona kwani imeshapita miaka 6 na bado hali sio mbaya kama alivyodhani.

Exit mobile version