Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu,leo imeamuachia huru Mfanyabiashara Yusuf Manji katika kesi ya uhujumu uchumi.
Manji ameachiwa huru baada ya Mkurugenzi Mkuu wa Mashtaka DPP kuwasilisha hati akionyesha kutokuwa na nia ya kuendelea na mashtaka dhidi ya Manji na wenzake.