Manji kuhojiwa na Polisi.

In Kitaifa

 

September 4, 2017 Mahakàma ya Hakimu Mkazi Kisutu imeruhusu Mfanyabiashara Yusuf Manji na wenzake wahojiwe na Polisi ili kukamilisha upelelezi wa kesi ya uhujumu uchumi inayowakabili.

Uamuzi huo umetolewa na Hakimu Mkazi Mkuu, Huruma Shaidi ambapo amesema ameruhusu washtakiwa wahojiwe baada ya kuandikiwa barua na Mkuu wa Upelelezi (ZCO).

Hakimu Shahidi alimkabidhi Manji na washtakiwa wenzake kwa Koplo Dotto ambapo amemtaka hadi kesho kwenye muda wa kazi wawe wamerudishwa Mahakamani.

Mbali ya Manji washtakiwa wengine ni Deogratius Kisinda, Abdallah Sangey na Thobias Fwere.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Serikali kuunga mkono juhudi za Taasisi mbali mbali.

Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi, amesema serikaliitaendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Taasisi yaZanzibar Maisha Bora Foundation,pamoja na

Read More...

DKT. KIRUSWA AZINDUA MFUMO WA USHIRIKISHWAJI WA WATANZANIA KATIKA SEKTA YA MADINI

Watanzania waendelea kunufaika Sekta ya Madini, ajira 15,341 zamwagwa, manunuzi ya ndani ya nchi yafikia Dola za Marekani bilioni

Read More...

MAFURIKO YAUWA 190 MALAWI

Takriban watu 190 sasa wamethibitishwa kufariki nchini Malawi baada ya Dhoruba ya Mafuriko ya Tropiki Freddy kulikumba eneo

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu