Haya ndiyo yalikua mapokezi ya aliyekuwa Mbunge wa viti maalumu kupitia tiketi ya Chadema Marehemu Dkt.Elly Marko Macha,mwili huo ulipokelewa katika uwanja wan ndege wa KIA kupelekwa nyumbani kwake Usariver.
Picha mbali mbali zikionyesha matukio ayo.
mbunge wa vitimaalumu kwa tiketi ya Ccm akifurahi jambo na Mbunge wa Arusha Mjini Mhe.Godbless Lema.
