Mashirika ya utangazaji ya umma yatumie Tehama.

In Kitaifa

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt
Hussein Ali Miwinyi,ametoa rai kwa mashirika ya utangazaji ya
umma kuwekeza na kuwa na vitendea kazi vya kisasa
vinavyoendana na mabadiliko ya sayansi na teknolojia duniani
katika ukuaji wa uchumi wa kidijitali kwa maendeleo endelevu.


Akifungua Mkutano Mkuu wa 30 wa Mashirika ya Utangazaji
ya Umma kutoka Nchi za Kusini mwa Afrika(SABA)
uliofanyika mjini Zanzibar,Dkt. Mwinyi amesema wakati
umefika sasa kwa mashirika ya utangazaji ya umma kuhakikisha
vyombo vya utangazaji vya umma vinakuwa vya kisasa kwa
lengo la kufikia hadhari kubwa ya dunia.


Mkutano huo wa siku tatu utajadili kwa kina nafasi ya
TEHAMA na mchango wake katika ukuaji wa uchumi wa
kidijitali Afrika ili kuleta maendeleo endelevu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu