Mshambuliaji wa klabu ya Yanga raia wa DR Congo, Fiston Kalala Mayele amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya NBC mwezi Januari, 2022.