MEEK MILL AACHIA VIDEO YA “NOURTHSIDE SOUTHSIDE”

In Burudani, Kimataifa

Wiki chache zilizopita, Meek Mill aliperform kwenye
Wireless Festival na ulikuwa wakati mzuri kwa sababu
ilikuwa mara yake ya kwanza London tangu alipoingia
kwenye game kwa zaidi ya miaka kumi iliyopita.


Alitumia vyema safari hiyo, pia alielekea Peckham
kushoot video ya ‘Northside Southside’ akimshirikisha
Giggs kutoka kwenye albamu yake ya Expensive Pain.
Na kuonyesha upendo unaowezekana, anaruhusu GRM
Kila siku kupata PREMIERE ya kipekee (exclusive
premiere).

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu