Messi apiga nne Barcelona ikiibamiza Eibar 6-1.

In Kimataifa, Michezo

Lionel Messi alifunga mabao manne na kuifanya Barcelona kuendelea kubaki kileleni mwa La Liga huku klabu hiyo ikiweka rekodi  ya kushinda mechi zote msimu huu kwa kutoa kipigo cha mabao 6-1 dhidi ya Eibar.

Messi alifunga bao la kwanza daikika ya 20 kwa mkwaju wa penati na kuiweka Barcelona mbele kabla ya Paulinho kufunga la pili kwa kichwa dakika ya 38 kipindi cha kwanza.

Kipindi cha pili kilianza kwa Barcelona kutawala mchezo huo kwa asilimia kubwa na dakika ya 53 Denis Suarez alifunga bao la 3 kabla ya Sergi Enrich kuipatia Eibar bao la kufutia machozi dakika ya 57.

Lionel Messi akiwa katika ubora wake aliweza kupachika mabao matatu ndani ya dakika 28 akipiga bao la nne dakika ya 53, bao la tano dakika 62 na kupiga bao la 6 katika dakika ya 87.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

JUMLA YA WATU 2249 VISIWA VYA MULEBA WAPATIWA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG .

Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwa

Read More...

MAANDALIZI DIRA YA MAENDELEO 2050 YAANZA

SERIKALI  imeanza mchakato Wa kuandaa Dira Mpya ya Maendeleo 2050 ambapo wadau wote katika maeneo yao wametakiwa kushiriki kikamilifu

Read More...

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu