Mgogoro wa ardhi uliodumu miaka 20 wamalizika.


Waziri wa Ardhi, Nyumba,Maendeleo ya makazi mheshimiwa
Wilium Lukuvi, amemaliza mgogoro wa ardhi ambao ulidumu
kwa takribani miaka 20 na kutoa haki ya umiliki wa ardhi kwa
Bibi mjane Elizabeth Mshimba aliyedhulumiwa kiwanja chake.


Exit mobile version