Mke wa Waziri Mkuu aliyechaguliwa nchini Lesotho ameuawa kwa kupigwa risasi.
Polisi wamesema mke wa Thomas Thabane Lipolelo ambaye awajakua wakiishi pamoja tangu mwaka 2012, baada ya Thabane kuwasilisha kesi ya talaka Mahakamani, aliuawa hapo jana jumatano wakati akiendesha gari karibu na nyumbani kwake,katika mji mkuu wa Maseru
Lesotho imekua na historia ya migogoro ya kisiasa
Waziri Mkuu huyo aliyechaguliwa Nchini humo ataapishwa siku ya Ijumaa.
