Mke wa Waziri Mkuu aliyechaguliwa nchini Lesotho ameuawa kwa kupigwa risasi.

In Kimataifa

Mke wa Waziri Mkuu aliyechaguliwa nchini Lesotho ameuawa kwa kupigwa risasi.

Polisi wamesema mke wa Thomas Thabane Lipolelo ambaye awajakua wakiishi pamoja tangu mwaka 2012, baada ya  Thabane kuwasilisha kesi ya talaka Mahakamani, aliuawa hapo jana jumatano wakati akiendesha gari karibu na nyumbani kwake,katika mji mkuu wa Maseru

Lesotho imekua na historia ya migogoro ya kisiasa

Waziri Mkuu huyo aliyechaguliwa Nchini humo ataapishwa siku ya Ijumaa.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu