Mnyeti afikishwa mahakamani mkoani Manyara.

In Kitaifa

Mbunge wa Jimbo la Misungwi mkoani Mwanza na aliyewahi kuwa mkuu wa Mkoa wa Manyara Alexanda Mnyeti, amefikishwa katika mahakama kuu kanda ya manyara kwa matumizi mabaya ya madaraka na kuisababishaia hasara ya zaidi ya shilingi bili 1 kampuni ya uwindaji ya HSK Safari Limited iliyopo Simanjiro Mkoani Manyara.

Mnyeti anadaiwa kushirikiana na afisa mendaji wa kata ya Emboreti Wilayani Simanjiro Nasalee Salum,kunyang’anya kitalu cha uwindaji cha kampuni ya HSK Safari Limited bila kufuata sheria.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu