Mohamed Dewji ashinda zabuni ya kuendesha klabu ya simba.

In Kitaifa, Michezo

Baada ya kutangazwa kwa Mfanyabiashara, Mohammed Dewji kushinda zabuni ya kuindesha klabu ya Simba kwa kumiliki hisa asilimia 49 ya timu hiyo, MO amesema anashangazwa klabu hiyo kukosa hata uwanja wa mazoezi licha ya kuwa na jina kubwa barani Afrika.

Leo hii timu yetu ina miaka 81 lakini hatuna hata uwanja wetu wenyewe wa kufanyia mazoezi. “amesema MO Dewji na kudai na kuahidi kujenga uwanja wa kisasa wa mazoezi wa klabu hiyo

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Watu 193 wawekwa karantini kisa virusi vya Marburg.

Mganga Mkuu wa serikali Dkt Tumaini Nagu,amesema hakuna kisa kipya kilichoongezeka kuhusu vifo vilivyosababishwa na virusi vya Ugonjwa wa

Read More...

SERIKALI YAFANYA UWEKEZAJI MKUBWA KATIKA HUDUMA ZA HALI YA HEWA

SERIKALI kupitia Wizara ya Ujenzi na uchukuzi,isemema kuwa katika kuhakikisha wanakuwa na Taarifa za uhakika za Hali ya hewa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu