Mongela awataka Wakulima na Wafanyabiashara kutumia fursa

In Uncategorized

Wafanyabiashara na wakulima wametakiwa kutumia fursa zinazojitokeza ikiwa ni pamoja na kuhudhuria kwenye maonyesho mbalimblai yanayojitokeza ili kuweza kulata taarifa safii ya namna gani ya kufanya Kilimo biashara
Wito huo umetolewa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mh John Mongela wakati Akifungua maonyesho ya chakula na kilimo Tanzfood yanayoendelea katika viwanja vya magereza Kisongo jijini.


Kwa upande wake mwandaaaji wa maonyesho hayo Dominic Shoo Amesema kuwa maonyesho hayo ni mara ya kwanza kufanyika ikiwa lengo ni kuweza kuwakutanisha wafanyabiashara na wakulima na kujengeana uwezo


Kwa upande wao wadau mbalimbali waliohudhuria kwenye maonyesho hayo wamesema yatawanufaisha hasa katika kuwakutanisha na mataifa mbalimbali na kujengeana uwezo kwenye biashara zao,,
Maonyesho hayo yamefungulia leo na yanatarajiwa kufungwa siku ya jumapili 

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu