Taharuki imezuka Kagera baada ya soko kuu mkoani humo
kuungua kwa moto majira ya usiku wa kuamkia leo ambapo
baadhi ya maduka na Vitu baadhi vimeungua na kufanikisha kuokoa vichache na
hakuna madhara yeyote kwa binadamu.
Aidha mmiliki wa duka pamoja na mashuuda wamesema kuwa
jeshi la Zimamoto na Uokoaji lilifika mapema na kufanya kazi
kikamilifu kama ilivyopaswa kuwa.
Kwaupande wake mkuu wa Wilaya ya Bukoba Erasto Sima
alifika eneo la tukio pamoja na Kaimu kamanda wa Polisi Mkoa
wa Kagera Maketi Msangi walikuwa na haya ya kusema
