Mtoto auawa kikatili na shangazi yake

In Kitaifa

Mtoto aliyetambuliwa kwa jina la Enock Melita (4) mkazi wa kijiji cha Kiru Six kitongoji cha Ndoroboni wilayani Babati mkoa wa Manyara ameuwawa  kikatili  na  shangazi yake anayejulikana kwa jina la Nembris Melita na kisha kumbeba na beseni la kufulia nguo na kumtupa pembezoni mwa mto.

Mama mzazi wa mtoto huyo Upendo Lendoya amesema mtoto wake ameuawa na wifi yake na hana la kufanya anatafakari kilichotokea.

Wakazi wa kijiji hicho wamegoma  chakula kupikwa kwenye msiba huo kutokana na mauwaji ya kikatili yaliyofanyika kwa mototo huyo na kutokuwa na ushirikiano wa ndugu wa marehemu 

Kamanda wa Polisi mkoa wa Manyara George Katabazi amesema uchunguzi bado unaendelea na pindi utakapo kamilika mtuhumiwa atapewa haki yake huku mwakilishi wa dawati la jinsia akihamasisha Amani itawale kwenye kijiji hicho hadi upelelezi ukamilike

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

CCM waongeza nafasi za Wajumbe Halmashauri kuu

Rais wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk Samia Suluhu amesema ili kupanua wigo, halmashauri kuu

Read More...

Washukiwa 25 wanaodaiwa kupanga njama za mapinduzi wakamatwa Ujerumani

Maelfu ya polisi leo wamefanya msururu wa misako kote Ujerumani wa washukiwa wa siasa kali za mrengo wa kulia

Read More...

Mkuu mpya wa chuo cha Arusha asimikwa.

Chuo kikuu cha Arusha kimemsimika mkuu mpya wa chuohicho wakati wa mahafali ya 16 ambayo yamefanyika chuonihapo.  Mkuu aliyeachia nafasi

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu