Zindzi Mandela, mtoto wa Rais wa zamani wa Afrika Kusini Nelson Mandela na aliyekuwa balozi wa Afrika Kusini nchini Denmark, amefariki dunia jijini Johannesburg akiwa na umri wa miaka 59.