Muroto: Hatuwezi kuacha wahalifu watambe.


Kamanda wa polisi wa jiji la Dodoma Gilles  Muroto, amesema
kuwa licha ya kuwepo kwa janga la ugonjwa wa Corona nchini
hawawezi kuwaacha wahalifu watambe.


Kamanda Muroto ameyaeleza hayo katika kikao cha pamoja na
makamanda wa polisi wa mikoa minne jirani na jiji la Dodoma
kilichofanyika ili kuweka mikakati ya kupambana na uhalifu
kwa ushirikiano baina yao.

Kikao hicho kilifunguliwa na mkuu wa mkoa wa Dodoma Dkt.
Binilith Mahenge na sehemu ya kile alichokizungumza ni hichi
hapa.

Exit mobile version