Mutafungwa atangaza oparesheni kali kwa wahalifu.

In Kitaifa

Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Mwanza ACP Wilbrod
Mutafungwa,amewataka wananchi kushirikiana na jeshi la polisi
katika suala la ulinzi na usalama ili kukomesha vitendo vya
kihalifu.


Kamanda Mutafungwa ametoa rai hiyo wakati wa mkutano wa
hadhara na wananchi pamoja na viongozi wa serikali za mitaa
katika kata ya pamba wilayani Nyamagana Jijini Mwanza
wakati akisikiliza kero mbalimbali za kiusalama kutoka kwa

wananchi hao,huku akitangaza kuanza oparesheni kali ya
kuwasaka wale wote wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu