Mwenyekiti wa Vijana Taifa chama cha Chadema John Pambalu amejitokeza kutia nia na kuomba udhamini kwa wanachama wa chama hicho katika ofisi za kanda ya Victoria zilizopo Nyegezi mkoani mwanza.
Mwenyekiti huyo amefika ofisini hapo ili kupata ridhaa ya kuchaguliwa na kamati kuu ya chamadema kupeperusha bendera ya chama hicho jimbo la nyamagana kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu.