Mwigulu atangaza mapya Bei zitashuka hata mafuta Pia.

In Kitaifa

Waziri wa fedha na mipango Dkt Mwigullu Nchemba amesema
mfumuko wa Bei ulioshuhudiwa kwa siku za hivi karibuni na
kusababisha baadhi ya bidhaa kupanda bei mara dufu,huenda

ukaanza kupungua kutoka na kushuka kwa bei ya nishati ya
mafuta katika soko la dunia.


Dkt Mwigulu ameeleza hayo alipokuwa akifungua mkutano wa
kimataifa wa taasisi ya kuhakikisha uendelevu wa uwekezaji
duniani MIGA inayofanya kazi chibi ya Bank ya Dunia.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

WANAFUNZI 500 WAPEWA MBINU WASILOWEE KWENYE MADAWA YA KULEVYA.

Na Tonie kaisoe ,Arusha Wanafunzi zaidi ya 500 wa shule ya Sekondari Arusha Jiji na Wilaya ya Arumeru wamepewa mbinu

Read More...

MR. IBU AFARIKI DUNIA

Mchekeshaji maarufu wa Nollywood nchini Nigeria, John Okafor, almaarufu Mr. Ibu amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu.

Read More...

POLISI, LATRA WAPIGA FAINI MABASI YALIYO ZIDISHA NAULI ARUSHA.

Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha kwa kushirikaiana na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA)

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu