Mzunguko wa kwanza wa kura za maoni katika uchaguzi wa bunge nchini Ufaransa unaonyesha dalili za chama kipya cha rais Emmanuel Macron kujinyakulia viti vingi vya bunge.Makadirio yanaonyesha kuwa chama hicho kinaweza kupata viti 440.

In Kimataifa

Mzunguko wa kwanza wa kura za maoni katika uchaguzi wa bunge nchini Ufaransa unaonyesha dalili za chama kipya cha rais Emmanuel Macron kujinyakulia viti vingi vya bunge.Makadirio yanaonyesha kuwa chama hicho kinaweza kupata viti 440.

Hata hivyo makadirio ilikuwa ni kupata asilimia 50 tu jambo ambalo lilimpatia wasi wasi mkuu wa chama cha republicans Francois Baron

“Kiwango cha idadi kubwa ya wasiopiga kura hakijawahi kutokea tangu 1958, jambo linaloonyesha mgawanyiko mkubwa katika jamii ya Ufaransa kwa sasa.Mgawanyiko huu ulionekana wazi katika mzunguko wa kwanza wa uchaguzi wa Rais.

Katika mzunguko wa kwanza wa uchaguzi wa rais karibia kila raia mmoja wa Ufaransa kati ya wawili alichagua msimamo mkali kisiasa.

Katika mzunguko wa pili wapiga kura milioni 16 walikataa kuchagua kati ya Emmanuel Macron na chama cha National Front kwa ama kutojitokeza kupiga kura ama kupiga kura zilizoharibika. Safari hii idadi ya wapiga kura imeendelea kupungua jambo linalotia mashaka. ”

Upande wa Soshalist huenda ukapata pigo kubwa,kwa ni inaonekana chama cha Front National cha aliyekuwa mgombea wa Urais Marine Le Pen,huenda kikapata viti vingi Zaidi ya viwili walivyo navyo kwa sasa.

 

Hata hivyo amelaumu mfumo wa uchaguzi wa Urfaransa

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

JUMLA YA WATU 2249 VISIWA VYA MULEBA WAPATIWA ELIMU YA UGONJWA WA MARBURG .

Baadhi ya Watalaam wa Afya kutoka Wizara ya Afya wakitoa Elimu katika kisiwa Cha Rushonga kilichopo ndani ya ziwa

Read More...

MAANDALIZI DIRA YA MAENDELEO 2050 YAANZA

SERIKALI  imeanza mchakato Wa kuandaa Dira Mpya ya Maendeleo 2050 ambapo wadau wote katika maeneo yao wametakiwa kushiriki kikamilifu

Read More...

Viwango vya maadili kwa viongoiz yaongezeka.

Imeelezwa kuwa viwango vya uzingatiwaji wa maadili kwa viongozi na watumishi wa umma nchini,vimeongezeka hadi kufikia asilimi 75.9 kwa

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu