Ndege za watalii zatua nchini.

In Kitaifa


Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Abeid Aman Karume
visiwani Zanzibar umeendelea kupokea ndege ya shirika al
Qatar Air aina ya Dreamliner 787 iliyobeba watalii zaidi ya 80
kutoka Doha nchini Qatar.
Leo ndege ya Qatar imetua katika uwanja wa kimataifa wa KIA
ikiwa  na watalii 50 kutoka nchi mbalimbali ambao wamefika
nchini Tanzania kwa ajili yakutembelea hifadhi za taifa ambapo
ni miezi minne imepita baada yakuwepo kwa changamoto ya

ugonjwa wa Corona nakupelekea nchi nyingi kusitisha safari
zake.

Join Our Newsletter!

Get updates, news etc from us. Its simple just put in your email address.

You may also read!

TEMBO WAUA TENA KIGONIGONI

Aliyekuwa mwananchi wa Kijiji cha Kigonigoni Wilayani Mwanga Mkoani Kilimanjaro, Yonael Kaindu Maarufu kama Mzembi, ameshambuliwa na Kuuawa na

Read More...

Waziri wa zamani wa Msumbiji ahukumiwa kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya ufisadi.

Msumbiji Alhamisi imemuhukumu waziri wa zamani kifungo cha miaka 16 jela kwa makosa ya ufisadi, ikiwa ni hukumu kali

Read More...

YANGA yasaini Mkataba mpya wa Udhamini na Sportpesa

KLABU ya Yanga SC, imesaini mkataba mpya wa Udhamini Mkuu na Kampuni ya kubashiri ya Sportpesa Tanzania, wenye thamani

Read More...

Leave a reply:

Your email address will not be published.

Mobile Sliding Menu